Droo ya hatua ya robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) imefanyika leo huko Doha Qatar
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo Simba wataanzia ugenini dhidi ya Al Masry ya Misri na kumalizia mechi ya pili ya robo fainali nyumbani
Aidha kama Simba itavuka robo fainali, mchezo wa nusu fainali itaanzia nyumbani na kumalizia ugenini ambapo itacheza na mshindi wa mchezo kati ya Stellecnbosch dhidi ya Zamalek ya Misri
- QF1 : Stellenbosch vs Zamalek
- QF2: Asec Mimosas vs Berkane
- QF3: CS Constantine vs USMA
- QF4: Al Masry vs Simba
NUSU FAINALI
- SF1: QF2 vs QF3
- SF2: QF4 vs QF1
Post a Comment