Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi za mzunguuko wa 20 zitaunguruma
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga, watakuwa uwanja wa nyumbani KMC Complex kumenyana na Singida Black Stars katika mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali
Hii ni mechi ambayo unaweza kusema ni mtego kwa Yanga kwani kama watakosa ushindi, huenda wakawanufaisha zaidi watani zao Simba katika mbio za ubingwa
Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 49 alama mbili mbele ya Simba yenye alama 47 ikishika nafasi ya pili
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment