Baada ya kudondosha alama 2 katika mchezo uliopita dhidi ya JKT Tanzania, mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC, Yanga leo wako uwanjani
Ni katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa dimba la KMC Complex
Hii ni mechi muhimu kwa Yanga kushinda ili kurejea juu ya msimamo wa ligi
Hata hivyo ni wazi haitakuwa mechi nyepesi kwani ni dabi ndogo itakayozikutanisha timu zinazotumia uwanja wa KMC Complex
KMC imeimarika zaidi baada ya maboresho waliyofanya katika usajili wa dirisha dogo timu hiyo ikinolewa na Kali Ongala
Katika mechi yao iliyopita, KMC walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Black Stars, matokeo ambayo yatawaongezea morali kuelekea mchezo dhidi ya Yanga leo
Itakuwa mechi ya pili kwa kocha Miloud Hamdi ambaye leo ataiongoza Yanga katika mechi ambayo ni kama fainali kwani Wananchi wanahitaji matokeo ya aina moja tu, USHINDI
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment