Mtangazaji maarufu wa redio nchini Kenya alipigwa kama burukenge kufuatia kuripotiwa kushikwa na mkewe akifanya mapenzi na na mtangazaji mwenzake baada ya kipindi chao cha jioni.
Mtangazaji huyo aliyetambulika kwa jina la Moko (jina sio halisi, tumelificha) akifanya kazi katika moja ya vituo vya redio huko Kisumu, alinaswa na mke wake wa ndoa akifanya mapenzi na mtangazaji mwenzake ambaye hushirikiana.
Video iliyosambaa mtandaoni ilionyesha mke aliyekasirishwa akimpiga kijana huyo na kumtukama kama mtoto mdogo kitu ambacho kiliteka mazungumzo katika mitandao ya kijamii.
Mamia ya wakazi walifika kushuhudia tamthilia na machafuko hayo yaliyotokea ndani ya kituo hicho na kusababisha kila kitu kusimama ghafla.
Wanaojua wawili hao walidai kuwa ndege hao wamekuwa wakitoka kwa kuchelewa kutoka kituoni hapo na wakati mwingine hukodisha teksi moja ambayo huwapeleka kwenye club kwa ajili ya vinywaji.
Katika hali ya kushangaza, wiki moja tu baadaye baada ya wawili hao kunaswa, mtangazaji huyo wa kike alipatwa na wazimu akikimbia kutoka upande mmoja wa kituo cha radio hadi upande mwingine huku akipiga kelele za kuomba msaada.
Kwa bahati mbaya, baada ya kufungwa kamba na kukimbizwa katika hospitali ya jirani, dawa ambayo alipewa ilishindikana kufanya kazi. Kwa kweli hali ilizidi kuwa mbaya na kumfanya kuwa mkali kwa mtu yeyote ambaye alijaribu kusogea karibu naye.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, hadi mmoja wa waganga wa jadi kutoka Kiwanga Doctors alipokuja kusaidia kurejesha afya yake ndipo alipotulia na kuwa kawaida.
Kwa wale walioshuhudia tukio zima, walisema inawezekana kwamba mke kwa mwanaume yule alitumia uchawi kumuadhibu mwanamke aliyekuwa akilala na mume wake. Katika hali hiyo, dawa pekee ilikuwa ni kumtumia uganga na uchawi kukomesha hali hiyo.
Kiwanga Doctors wana uwezo wa kipekee wa kutambua matatizo ya mtu kwa kuuliza maswali machache kisha kuja na suluhisho la tatizo lao. Wanatatua matatizo kama kushinda kesi mahakamani, migogoro ya mashamba, ndoa na familia. Wasiliana nao kwa namba +254 769 404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com.
Mwisho.
Professionalism ya uandishi inapotea, yaani mtu yupo tayari kuharibu reputation ya page nzima kwa matangazo haya, hope it is worth it.
ReplyDeletePost a Comment