Alala usingizi katika gari ambalo alitaka kuliiba!

Alala usingizi katika gari ambalo alitaka kuliiba!
Yalikuwa mojawapo ya matukio machache ya kuvutia katika Kaunti ya Machakos nchini Kenya ambapo kijana mmoja aliyeonekana kuwa na umri wa miaka 20 hivi, alinaswa akiwa amelala ndani ya gari alilotaka kuiba.

Tukio hilo lililotokea mapema Juni 2021, liliwaacha wakazi wa eneo hilo katika mshangao mkubwa baada ya kudaiwa kuwa kijana huyo alitaka kuiba gari hilo la kifahari aina yaa Subaru Outback lililokuwa limeegeshwa kwenye Mgahawa mmoja.

Mwizi aliyenaswa na mwenye gari alikutwa akikoroma akiwa bado ndani ya gari hilo. Inasemekana alikuwa amepumzika kwenye kiti cha dereva ishara kwamba alikuwa tayari kuondoka na gari hilo kabla ya bahati mbaya kutokea.

Video za CCTV Camera zilizochukuliwa kutoka katika eneo la tukio hilo, zilionyesha jinsi mtu huyo alivyoelekea kwenye maegesho ya gari usiku huo na kujaribu kuiba gari hilo la gharama kubwa.

Hata hivyo, kama wasemavyo waswahili kuwa siku za mwizi ni 40, basi kijana huyo 40 yake ilishafikia baada ya kujikuta kasinzia akiwa amenasa ndani kwa muda wote wa usiku hadi asubuhi.

"Asubuhi alipatikana amelala ndani ya gari hilo, alikuwa na usingizi wa ajabu kiasi kwamba hakujua ni kitu gani kimetokea au nini kinaendelea katika eneo hilo." Aliyeshuhudia tukio hilo aliwaeleza Polisi na Vyombo vya Habari.

Kisa hicho kinahusishwa na uchawi ambapo mmiliki wa gari hilo, David alikuwa amewatembelea Kiwanga Doctors na kuwaomba wamfanyie matambiko kwa ajili ya ulinzi wa mali zake na biashara zake ambazo ndizo zimempa utajiri huo.

Basi Kiwanga Doctors ambao wanapatikana kwa namba +254 769404965, walimfanyia dawa kama alivyotaka na matokeo yake ndio yakawa hayo ya mwizi kukutwa akichapa usingizi ndani ya gari.

Tangu kutokea kwa tukio hilo, David anajigamba kuwa analindwa sana na hakuna cha kujali. Hata alifikia hatua na kusema wakati fulani anaacha gari lake likiwa milango wazi na hakuna kinachoibiwa ndani yake.

Wanaomfahamu vyema wanasema amekuwa rafiki wa uchawi ambapo sehemu kubwa ya mali zyake zinalindwa na uganga kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao wamesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki.

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post