Yanga yaongeza fundi mwingine kutoka Zanzibar

 

Kiungo mshambuliaji Khleffin Salum Hamdoun 'Fini' ametua Yanga akitokea Muscat Club ya Oman. Kiungo huyo aliyewahi kuitumikia Azam Fc, ametoka visiwani Zanzibar

Kabla ya kutimkia Oman mwaka 2022, Khleffin aliitumikia Azam Fc kwa kipindi kifupi

Licha ya kuwa hajatambulishwa, usajili wa Khleffin ulikamilishwa kabla ya dirisha dogo kufungwa

Aidha, taarifa zaidi imebainisha kuwa Yanga pia imemsajili nyota mwingine kutoka Zanzibar Abdallah Idd Mtumwa ‘Pina’ ambaye alikuwa mshambuliaji wa klabu ya Mlandege Fc

Pina alikuwemo kwenye kikosi cha Zanzibar Heroes kilichotwaa michuano ya kombe la Mapinduzi Januari 13 kwa kuifunga Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo wa fainali

Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA 🆚 COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

Au Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post