UTetesi za Usajili: Yanga yamuwania winga AS VitaYanga yamuwania winga AS Vita
sikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload App Bonyeza Hapa
Yanga inahusishwa kumuwania winga wa Kimataifa wa DR Congo Jonathan Ikangalombo anayeitumikia klabu ya AS Vita
Ikangalombo kwa sasa yuko Tanzania kwa ajili ya mapumziko akiwa na familia yake
Chanzo cha ndani Yanga kimethibitisha kuwepo kwa mazungumzo yanayosimamiwa na Wakala wa mchezaji huyo ambaye alitua nchini karibuni
Mkataba Ikangalombo na AS Vita unafikia tamati Januari 01 2025 hivyo ni wazi kama kila kitu kitakwenda sawa, nyota huyo anaweza kujiunga na Yanga pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Disemba 16
Licha ya kumudu kucheza nafasi zote za winga, Ikangalombo anaweza kutumika kama mshambuliaji wa kati pia
Post a Comment