BREAKINGZ: Taarifa Mpya kutoka Yanga Asubuhi hii

Download App yetu kutazama chanel kama:
Azam sport 1,2,3,4
Azam one
Azam two
Sinema zetu
Wasafi tv
Zamaradi Tv na nyingine nyingi buree

Download App yetu kutazama chanel hizi LIVE kwenye simu yako buree acha kuwa nyuma tazama kila kitu kiganjani mwako.

Kudownload App hii bonyeza HAPA

 Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki wa timu hiyo kupuuza taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuwa wameachana na kocha msaidizi Moussa N'Daw

Baada ya uvumi wa Miguel Gamondi kuondoka sasa tetesi zimehamia kwa kocha msaidizi huku kocha mkuu wa KMC Abdihamid Moallin akitajwa kuchukua nafasi yake

Kamwe amesema hakuna mabadiliko yoyote katika benchi la ufundi la Yanga, Kocha Mkuu ni Miguel Gamondi na kocha msaidizi ni N'Daw

"Benchi letu la ufundi ni lilelile, Kocha Mkuu ni Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi ni Moussa N'Daw, hakuna kilichobadilika"

"Niwaambie Wanayanga hii ni taarifa rasmi kutoka kwa msemaji wenu, hakuna badiliko lolote ambalo limefanyika," alisisitiza Kamwe

Yanga ilirejea mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Novemba 26

Makocha hao walikuwepo kusimamia mazoezi hayo ya kwanza baada ya mapumziko ya siku chache

Huu hapa mkeka wa leo bure👉🏻 B53248 kama bado hujajisajili na Galsport Bonyeza HAPA kujisajili kisha weka Dau na ushinde ( Ushindi kwetu ni kila siku )

2 Comments

  1. kinachofanya achelewe kufanya sabu nini alafu anafanya sabu za hovyo sana

    ReplyDelete
  2. nsubugamuhamed7@gmail.com

    ReplyDelete

Post a Comment

Post a Comment

Previous Post Next Post