Viingilio mchezo dhidi ya Pamba Jiji
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs PAMBA JIJI Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kesho Alhamisi, Oktoba 3 saa 12:30 jioni Yanga itakuwa uwanja wa Azam Complex kumenyana na Pamba Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Hii itakuwa mechi ya pili kwa Wananchi nyumbani wakisaka ushindi katika mkakati wa kuisaka nafasi ya kwanza
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kuchangamkia tiketi mapema na kuhakikisha wanaujaza uwanja wa Azam Complex hapo kesho
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment