Yanga yaalikwa kenya ufunguzi wa Uwanja wa Siaya - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yaalikwa kenya ufunguzi wa Uwanja wa Siaya

Yanga yaalikwa kenya ufunguzi wa Uwanja wa Siaya

Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs CBE Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Gavana wa Kaunti ya Siaya nchini Kenya, James Orengo amewasilisha mwaliko rasmi kwa klabu ya Yanga kushiriki ufunguzi wa uwanja wa Siaya Januari 1, 2025

Mwaliko huo uliwasilishwa kwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa nchini Kenya kushiriki Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)

Yanga inatarajiwa kuchuana na mabingwa wa Kenya, Gor Mahia katika mchezo wa ufunguzi wa uwanja huo

Kwa sasa Yanga inatizamwa kama klabu bora zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz