Taarifa mpya kutoka yanga Asubuhi hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka yanga Asubuhi hii

Taarifa mpya kutoka yanga Asubuhi hii

Usikose kuitazama mechi ya CBE SA vs YANGA Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Kesho Alhamisi asubuhi, kikosi cha Yanga kitaondoka jijini Dar es salaam kuelekea Ethiopia tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CBE SA

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 14 katika uwanja wa Abebe Bikila, saa 9 Alasiri

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema jambo jema kwao haitakuwa safari ndefu kwani itawachukua takribani saa 3 kutoka Dar es salaam hadi Addis Ababa

Nyota 14 waliokuwa katika majukumu ya timu za Taifa wamekamilisha majukumu yao jana na baadhi wanatarajiwa kuungana na timu moja kwa moja huko Ethiopia

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz