Ronaldo aweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kufikisha followers bilioni 1 Insta
Usikose kuitazama mechi ya CBE SA vs YANGA live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ambayo haijawahi kushuhudiwa, kufuatia kuwa mtu wa kwanza katika historia kuzidi wafuasi bilioni 1 kwenye mitandao ya kijamii.
Mafanikio haya ya ajabu yakustaajabisha ameyaweka kupitia Instagram, Facebook, X (zamani Twitter), Kuaishou, Weibo na YouTube, ambapo watazamaji wake wote wamefikia nambari maarufu.
Ufikiwaji wa Ronaldo umekua zaidi ya mpira wa miguu, na kumtambulisha kama Icon wa kimataifa.
No comments:
Post a Comment