Rasmi: Yanga yafuta kesi dhidi ya Kagoma
Leo michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya africa AFCON inaendelea ambapo timu mbali mbali zitakuwa viwanjani kuanzia mida ya saa moja jioni usikose kutazama mechi zote live bure kupitia simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv bure pia mechi za ligi kuu tz bara na ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Menejimenti ya mchezaji Yusuph Kagoma imeushukuru uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said kwa kumsamehe mteja wao ili aendelee kuitumikia klabu ya Simba
Yanga imeondoa shauri lake dhidi ya Kagoma katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF ambapo mchezaji huyo alishitakiwa kwa kufanya udanganyifu baada ya kusaini pamoja na kupokea sehemu ya malipo kutoka klabu ya Yanga lakini akaenda kujiunga na Simba
Taarifa iliyotolewa na menejimenti ya Kagoma, imethibitisha kumalizika kwa sakata hilo
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment