Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga watakuwa na jambo la katika uwanja wa Azam Complex
Ni saa 3 usiku Yanga itawakaribisha KMC ukiwa ni mchezo wa kwanza nyumbani kwa Yanga msimu huu
Jumapili ya kufosi, ndio kaulimbiu ambayo Wananchi wameamua kwenda nayo katika mchezo huo
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs KMC Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
No comments:
Post a Comment