Hatimaye ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Simba imewadia
Ni mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC) dhidi ya Al Ahli Tripoli
Saa 10 jioni nyasi za uwanja wa Benjamin Mkapa zitawaka moto. Mnyama akisaka ushindi ili kutinga hatua ya makundi ya mashindano ya CAF kwa msimu wa tano mfululizo
Usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu itakayorusha mechi hii live kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv live bure pia utatazama mechi za ligi kuu tz bara (Nbc premier league) na mechi zote za Ulaya bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
No comments:
Post a Comment