Mabingwa wa liigi kuu ya Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo Yanga leo wanarejea katika mikiki mikiki ya ligi baada ya kutimiza majukumu ya Kimataifa kwa kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Yanga iko mkoani Mbeya kuikabili Ken Gold katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sokoine, saa 10 jioni
Huu utakuwa mchezo wa pili wa ligi kwa Yanga msimu huu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs KEN GOLD Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
No comments:
Post a Comment