Baada ya kukosa ushindi katika mchezo wa kwanza kuwania tiketi ya kufuzu Afcon 2025, timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo iko ugenini kumenyana na Guinea katika mechi nyingine muhimu kundi H
Mchezo huo utapigwa Ivory Coast, wenyeji Guinea wakipeleka mechi hiyo nchini humo baada ya kukosa uwanja wenye sifa nchini kwao
Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kufuzu Afcon 2025 ingawa hata matokeo ya sare ugenini yatawapandisha nafasi ya pili
DR Congo ndio vinara wa kundi H wakikusanya alama sita baada ya ushindi wao wa pili dhidi ya Ethiopia jana
Usikose kuitazama mechi hii Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii Live bure pia kwenye app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
No comments:
Post a Comment