Kuzishuhudia Yanga vs CBE kiingilio buku tano tu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kuzishuhudia Yanga vs CBE kiingilio buku tano tu

Kuzishuhudia Yanga vs CBE kiingilio buku tano tu


Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs CBE Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Jumamosi ya wiki hii, Septemba 21, 2024 Yanga ina jambo lake visiwani Zanzibar katika mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CBE SA

Ni katika uwanja wa New Amaan Complex mchezo huo muhimu kwa Yanga kujihakikishia tiketi ya kutinga hatua ya makundi utapigwa

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao kiingilio cha chini Mzunguuko ni Tsh 5,000/- tu

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz