Hiki hapa kikosi cha simba sc vs Dodoma Jiji Fc, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Jumapili tarehe 29 September 2024.
Mchezo huu utapigwa kwenye uwanja Jamhuri Dodoma.
Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC tazama hapa chini;
Muda mchache ujao Simba inashuka uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kuikabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Mkufunzi wa Simba Fadlu Davids ameanza na kikosi hiki;
No comments:
Post a Comment