Feisal adaiwa kugomea mkataba mpya wa Azam FC
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs CBE SA Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Nyota wa Azam FC Feisal Salum 'Feitoto' amegomea ofa ya kuongeza Mkataba mpya Klabuni hapo kwa mara ya pili.
Nyota wa Azam FC Feisal Salum 'Feitoto' amegomea ofa ya kuongeza Mkataba mpya Klabuni hapo kwa mara ya pili. Feisal ameweka sharti zito ambapo amewaambia kuwa kama kweli Azam wanataka abaki Klabuni hapo basi wawe wanamlipa mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa mwezi jambo ambalo Azam hawawezi kukubali.
No comments:
Post a Comment