Dabi ya Kariakoo yarudishwa kwa Mkapa
Usikose kuitazama mechi ya TANZANIA vs ETHIOPIA leo live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeboresha ratiba ya NBC Premier League ambapo imeipangia tarehe michezo 14 ambayo haikuwa na tarehe hapo awali
Katika maboresho hayo mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga umeondolewa dimba la KMC na kupelekwa Benjamin Mkapa huku tarehe ikisalia kuwa Oktoba 19, 2024
Kwa mujibu wa taarifa ya TPLB, maboresho hayo yamekuja kutokana na kuondolewa kwa klabu za Azam FC na Coastal Union kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa na Kombe la Shirikisho
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment