Ahmed Ally atema nyongo ishu ya Kagoma vs Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Ahmed Ally atema nyongo ishu ya Kagoma vs Yanga

Ahmed Ally atema nyongo ishu ya Kagoma vs Yanga

Usikose kuitazama mechi ya AL AHLY TRIPOLI vs SIMBA Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Ahmed Ally atema nyongo ishu ya Kagoma vs Yanga

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amewatania watani zao Yanga kama wanamtaka kiungo wao Yusuph Kagoma wasubiri misimu 10, ndiyo watamuacha akatafute changamoto mpya.

Hii ni kama ilivyokuwa kwa wachezaji wao waliopita Jonas Mkude, Clatous Chama ambao wamewaacha na wakaenda kujiunga na Yanga. “Kwa mfano klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma yaani kila mkilala mnamuota, roho zinawauma kumkosa na mnataka aje kwenu, Cha kufanya ni kuwa na subira”

“Kwa sasa Kagoma ana maika 23 na Isha Allah atakaa Simba kwa miaka 10+ akifikisha miaka 33 au 35 ndio atakuja kwenu.

“Yaani mfumo ni ule ule kama mlivyomsubiri Mzambia kwa miaka 7 au mlivyomsubiri namba 20 kwa miaka 15, Kagoma nae ni hivyo hivyoo ila kwa sasa ni Mali halali ya Simba,” Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba.

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz