Simba kuanza na Tabora, Yanga kuanza na Kagera hii hapa ratiba ya ligi kuu Nbc
Usikose kuitazama Fainali ya ngao ya Jamii kati ya YANGA vs AZAM FC Live bure kupitia simu yako download app yetu kutazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv live bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Tayari imetangazwa ratiba ya ligi kuu ya NBC 2024/25 inayotarajiwa kuanza Ijumaa ijayo, August 16 2024
Mabingwa watetezi Yanga wao wataanzia ugenini August 29 mkoani Kagera kuikabili Kagera Sugar
Yanga inakabililiwa mechi mbili za hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Vital'o ya Burundi August 18 na August 25 hivyo itaanza kampeni ya kutetea taji lake baada ya mechi hizo
Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Ken Gold mkoani Mbeya, Septemba 25
Mechi ya kwanza ya dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba ni Oktoba 19
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment