Mpanzu akwama Ubelgiji, nafasi nyingine kwa Simba?
Usikose kuitazama mechi ya VITALO FC vs YANGA kesho kutwa miachuano ya Caf champions league LIVE bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa app yetu kuidownload bonyeza 👉🏻HAPA
Licha ya kufuzu majaribio yake kunako klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Kiungo mshambuliaji wa AS Vita Elie Mpanzu amekwama kujiunga na timu hiyo kutokana na changamoto ya umri
Mpango wa KRC Genk ilikuwa kumsajili Mpanzu lakini aanze kwa kuitumikia timu yao ya vijana U23 lakini baadae klabu hiyo ikabaini tayari umri wake ni miaka 23
Ikumbukwe kabla ya nyota huyo kuelekea Ubelgiji alishafikia makubaliano ya kujiunga na Simba ambapo Wekundu hao wa Msimbazi pia walifikia makubaliano ya kuongeza dau kwa AS Vita
Lakini wakati mchakato ukiendelea, ikafika ofa ya kufanya majaribio KRC Genk
Dirisha la usajili linafungwa kesho, huku Simba ikiwa tayari imekamilisha usajili wa mshambuliaji Leonel Ateba raia wa Cameroon
Kama ipo nafasi ya kurudi tena kwa Mpanzu, mabosi wa Simba hawapaswi 'kulaza damu' kutokana na daraja la kiungo mshambuliaji huyo
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment