Maofisa Habari wanaochekesha kulimwa rungu na TFF
Ni kesho Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na mechi hii live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam tv na Dstv bureee download sasa app yetu kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu huu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu huu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari. “Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao 24|25 tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu,“ amesema Almas Kasongo.
No comments:
Post a Comment