LIVE: Itazame mechi ya KAIZER CHIEF vs YANGA michuano ya Toyota cup
Yanga tayari iko Johanesurg kwa ajili ya mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa Jumapili, Julai 28 katika uwanja wa Toyota, Bloemfontein
Ni mwaliko ambao Yanga walipewa na Kaizer Chiefs kama walivyofanya Wananchi msimu uliopita kwa kuialika timu hiyo katika kilele cha wiki ya Mwananchi
Wakati huu Kaizer na Yanga zinachuana katika mchezo ambao ni kama fainali kwani mshindi ataondoka na taji la Toyota
Utakuwa mchezo utakaowakutanisha makocha Nasrededine Nabi wa Kaizer na Miguel Gamondi wa Yanga
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Nabi kuchuana na waajiri wake wa zamani Yanga katika mchezo ambao hakuna shaka utakuwa na upinzani mkali
Asilimia kubwa ya wachezaji wa Yanga ambao Nabi aliwafundisha bado wapo, kwa kiasi kikubwa wanafahamu mbinu za kocha huyo na watakuwa tayari kukabiliana nae
Katika msimu wake mmoja alioinoa Yanga, Gamondi amejipambanua ni kocha wa aina gani hasa zinapokuja mechi kubwa
Ni wazi atataka kushinda mchezo huo ili kumuonyesha Nabi ni kwa kiasi gani Yanga imepiga hatua kubwa chini yake
Mtanange utapigwa Jumapili, saa 10 jioni kwa saa za Tanzania mechi pia itakuwa live kwenye app yetu kama hujaidownload idownload sasa ili usipitwe
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment