Vital'o vs Yanga kupigwa Azam Complex
LIVE: Itazame mechi ya KAIZER CHIEF vs YANGA michuano ya Toyota cup
Ni kesho kutwa saa 10:00 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Mabingwa wa ligi kuu ya Burundi Vital'o wanatarajiwa kutumia uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Yanga
Vital'o wamelazimika kuleta mchezo huo Dar kwa kuwa Burundi haina uwanja uliokidhi matakwa ya CAF kwa ajili ya michuano hiyo
Ni wazi sasa Yanga haitasafiri nje ya Tanzania katika mechi zake za hatua ya awali zitakazopigwa August 16-18 na August 24-26
Yanga inatarajiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya mkondo wa pili
Msimu huu Yanga imeweka malengo makubwa katika michuano ya ligi ya mabingwa ambapo Wananchi wanautaka ubingwa wa Afrika
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment