Simba wamtambulisha Debora Fernandez Mavambo
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Simba imethibitisha usajili wa kiungo Debora Fernandez Mavambo aliyekuwa akitandaza soka Ligi Kuu ya Zambia
Ni kiungo mwingine anayetua kuzidi kuimarisha eneo hilo ambalo sasa limesheheni mafundi
Ni mzaliwa wa Congo Brazaville lakini pia ana uraia wa Ghabon ambapo ameitumikia timu ya Taifa ya nchi hiyo
Debora ni kiraka anayemudu kucheza nafasi yoyote katika eneo la kiungo
Ni moja ya sajili zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na Wanamsimbazi
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment