Simba hawapoi, wamtambulisha Karaboue Chamou toka Ivory Coast
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻 HAPA
Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati, Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.
Post a Comment