Mkude aibuka kwenye mazoezi Avic town
Ni Jumamosi ijayo Yanga vs Kaizer chief, Yanga vs Augsburg mashindano maalumu nchini africa Kusini usikose kuzitazama mechi hizi live bure kwenye simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na mechi hizi pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za azam tv na muvi zilizo tafsiriwa bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kiungo Jonas Mkude leo ameshiriki mazoezi ya kikosi cha Yanga yanayoendelea Avic Town, yakiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25
Mkude tayari alishaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Yanga
Kukosekana kwake katika siku za kwanza za pre-season kulipelekea kuibua tetesi huko mitandaoni kuwa ameachwa
Nungungungu bado yupo sana Jangwani...!
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment