Khomein ni suala la muda Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Khomein ni suala la muda Yanga

Khomein ni suala la muda Yanga

SIMBA DAY na SIKU YA MWANANCHI ni hivi karibuni usikose kutazama Live matukio haya makubwa kupitia simu yako pia ligi kuu tz bara, Ngao ya Jamii navyo vinakaribia pia michuano ya EURO 2024 inaendelea usikose kutazama haya yote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama yote haya pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv zote bure pia kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download sasa kuenjoy, kudownload app yetu bonyeza HAPA

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wamefanya mazungumzo na Singida Fountain Gate kwa ajili ya kumsajili mlinda lango Khomeini Abubakari ambaye amebakisha mkataba wa mwaka mmoja klabuni hapo

Khomein alijiunga na Singida Fountain Gate akitokea Geita Gold ambapo msimu wa 2022/23 alikuwa kwenye tatu bora ya wanaowania tuzo ya kipa bora

Yanga tayari imeachana na mlinda lango Metacha Mnata baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja na nusu kumalizika

Jana Yanga pia ilitangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili mlinda lango namba moja Djigui Diarra huku pia kipa namba mbili Aboutwalib Mshery nae akitarajiwa kusaini mkataba mpya

Ni wazi Khomein ndiye atakayerithi mikoba iliyoachwa na MetachaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz