Droo hatua ya awali ligi ya mabingwa ni kesho - EDUSPORTSTZ

Latest

Droo hatua ya awali ligi ya mabingwa ni kesho

Droo hatua ya awali ligi ya mabingwa ni kesho


Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Kesho Julai 11 2024 droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL) na kombe la Shirikisho CAF CC itafanyika huko Misri

Kwa mujibu wa kalenda ya michuano hiyo, mechi za hatua ya awali mtoano zitaanza August 16-18 na marudiano ni August 23-25

Mechi za raundi ya kwanza zitapigwa Septamba wakati hatua ya makundi itaanza Oktoba 2024

Yanga na Azam Fc zitashiriki ligi ya mabingwa wakati Simba na Coastal Union zikishiriki kombe la Shirikisho

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz