Breaking: Simba wamtambulisha Steven Mukwala - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Simba wamtambulisha Steven Mukwala

Breaking: Simba wamtambulisha Steven Mukwala

Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia ligi mbali mbali karibu zinaanza usikose kuzitazama mechi hizi zote LIVE bure kupitia simu yako download app yetu kutazama chanel zote za Azam tv bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download app yetu sasa kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Ni rasmi klabu ya Simba imetambulisha usajili wa mshambuliaji raia wa Uganda, Steven Mukwala

Mukwala anatua Msimbazi akitokea klabu ya Asante Kotoko ambayo alifanya 'mabalaa' msimu uliopita akifunga mabao 14 katika michezo 28 ya ligi kuu ya Ghana

Kabla ya kutimkia Asante Kotoko, Mukwala alizitumikia Vipers Fc na Maroons Fc zote za Uganda

Ni usajili uliolenga kuboresha safu ya ushambuliaji ambayo ni sehemu ya mapungufu yaliyoonekana katika kikosi cha Simba msimu uliopitaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz