BREAKING: Simba wamtambulisha Augustine Okejepha - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Simba wamtambulisha Augustine Okejepha

BREAKING: Simba wamtambulisha Augustine Okejepha 

Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza ­čĹë­čĆ╗HAPA

 Hatimaye fundi amewasili! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kumtambulisha kiungo Augustine Okejepha raia wa Nigeria

Okejepha anatua Msimbazi akitokea klabu ya Rivers United ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa msimu uliopita

Okejepha ana umri wa miaka 20 tu lakini tayari amejizolea umaarufu na kuweka alama katika soka la Nigeria

Msimu uliopita aliibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nigeria MVP, akiifungia Rivers United bao moja na kutoa assist tatu

Ikumbukwe huyu ni kiungo mkabaji ambaye pasipo na shaka anakwenda kutatua changamoto iliyoitesa Simba kwa misimu kadhaa katika nafasi hiyo

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz