Breaking: Simba wamtambulisha Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast

Breaking: Simba wamtambulisha Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast 

SIMBA DAY na SIKU YA MWANANCHI ni hivi karibuni usikose kutazama Live matukio haya makubwa kupitia simu yako pia ligi kuu tz bara, Ngao ya Jamii navyo vinakaribia pia michuano ya EURO 2024 inaendelea usikose kutazama haya yote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama yote haya pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv zote bure pia kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download sasa kuenjoy, kudownload app yetu bonyeza HAPA

 Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast

Ahoua anatua Simba akitokea klabu ya Stella Club d'Adjame ambapo katika msimu uliopita aliibuka kuwa MVP wa ligi kuu ya Ivory Coast akifunga mabao 12 na kutoa assist 9

Akiwa na umri wa miaka 22 tu, Ahoua anatizamwa kama moja ya wachezaji bora zaidi nchini Ivory Coast katika umri wake

Ahoua ni fundi hasa wa boli! huyu ndiye mrithi sasa wa Clatous Chama ambaye Simba haikumuongeza mkataba

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post