Simba yamfuata ndugu wa Saido - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yamfuata ndugu wa Saido

Derrick Mukombozi.

Leo kuna mechi za kibabe Caf za kufuzu kombe la dunia bofya hapa kudownload app itakayoonesha mechi hizi zote live bure kwenye simu yako pia ndani ya app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili bure pamoja na chanel za azam tv na Dstv

Uongozi wa Simba upo kwenye mazungumza ya kunasa saini na beki wa Namungo na timu ya taifa ya Burundi, Derrick Mukombozi kwaajili ya kuziba pengo la Henock Inonga ambaye anatajwa kutimka ndani ya kikosi hicho.

Uongozi wa Simba upo kwenye mazungumza ya kunasa saini na beki wa Namungo na timu ya taifa ya Burundi, Derrick Mukombozi kwaajili ya kuziba pengo la Henock Inonga ambaye anatajwa kutimka ndani ya kikosi hicho. Simba wanapambana kunasa saini ya staa huyo wa Burundi ambaye ametupia mabao manne kwenye Ligi Kuu Bara iliyotamatika Mai 29 akiwa na Namungo na alisema anampango wa kuondoka msimu ukiisha.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz