Simba wamnyatia mchezaji huyu kutoka Rivers united - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba wamnyatia mchezaji huyu kutoka Rivers united

Simba wamnyatia mchezaji huyu kutoka Rivers united

Michuano ya EURO 2024 na COPA AMERICA inaendelea leo usikose kuzitazama mechi hizo live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi hizi live bure kabisa pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa pia utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa kwa kubonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

 AUGUSTINE Okejepha Kutua Simba

AUGUSTINE

Simba imerudi tena Nigeria katika klabu ya Rivers United ambapo iko mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okejepha mwenye umri wa miaka 20

Kwa mujibu wa Mwanahabari maarufu wa Ghana Micky Jr, Okejepha amekubali kutua Msimbazi na atasaini mkataba wa miaka mitatu

Klabu ya Simba iko katika hatua za mwisho za mazungumzo kumalizana na Rivers United

Okejepha atakuwa Mnigeria wa nne kuitumikia Simba katika misimu ya karibuni baada ya Nelson Okwa, Victor Akpan na Junior Lokosa

Hata hivyo Lokosa, Akpan na Okwa walishindwa kuonesha makali yao katika kikosi cha Simba

Okejepha alikuwa moja ya wachezaji bora katika kikosi cha Rivers United msimu uliopitaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz