Simba Day kufanyika Agosti 3 - Video - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Day kufanyika Agosti 3 - Video

Simba Day kufanyika Agosti 3 - Video

Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu itakayoonesha mechi hii live bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam tv bure download sasa bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Simba, Ahmed Ally ametangaza rasmi kilele cha tamasha la Simba Day ambalo litafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 3, 2024.

Kwa kawaida, tamasha la Simba Day hufanyika Agosti 8 kila mwaka lakini mwaka huu kutokana na kuwepo kwa michuano ya Ngao ya Jamii itakayoanza tarehe hiyo hiyo (Agosti 8), tamasha hilo wameamua kulirudisha nyuma ili kuendana na kalenda ya TFF kwa msimu ujao.

Kupitia taarifa rasmi ambayo ameitoa kwenye mitandao ya Kijamii ya Klabu ya Simba, Ahmed amesema;

“Leo tungependa kuwaambia wanasimba Duniani kote, tukio la Simba Day litajuwa Aug 03,2024. Ile wiki nzima itakuwa ya hekaheka. Tumeitangaza mapema ili watu wanaotoka mataifa mbalimbali waanze kuweka booking,” amesema Ahmed.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz