“Pesa za usajili niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa”- Mangungu.
“Pesa za usajili niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa”- Mangungu. Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu akizungumza kwenye kipindi Kumekucha cha kituo cha runinga cha ITV Jumatano Juni 12, 2024.
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA XX ( WAKUBWA ) UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment