Kikosi cha Yanga 2024/25 hadharani Jumatatu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi cha Yanga 2024/25 hadharani Jumatatu

 Kikosi cha Yanga 2024/25 hadharani Jumatatu

Ni yanga vs Safari champions usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako pia mechi za EURO 2024 download app yetu inayorusha mechi hizi buree kabisa pia kwenye app yetu kuna muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pia kuna chanel za Azam tv na Dstv zote unazitazama buree download sasa App yetu kuenjoy bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA

Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 23/10/2023

Siku ya Jumatatu, Julai 01 klabu ya Yanga inatarajiwa kuweka hadharani kikosi chake kwa ajili ya msimu wa 2024/25

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema wataweka hadharani majina ya wachezaji wote waliosajiliwa na Yanga kwa ajili ya 2024/25

Hii ni pamoja na kutangaza nyota waliosajiliwa kwa ajili ya kuwatumikia Wananchi msimu ujao

Aidha Yanga pia siku hiyo itatangaza ni wapi timu itakwenda kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya 2024/25

Likizo za wachezaji wa Yanga zinamalizika mwishoni mwa wiki ambapo kuanzia Jumatatu, Julai 01 wanatakiwa kurejea Avic Town tayari kwa mipango ya pre-seasonDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz