Inonga sasa kuibukia FC Metz ya Ufaransa!

Mlinzi wa Simba SC, Henock Inonga Bacca

EURO 2024 Mechi zinaendelea leo usikose kuzitazama mechi zote za leo live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app inarusha mechi hizi live bure kabisa pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa pia utaweza kutazama chanel za Azam tv na dstv bure kabisa bofya sasa kudownload

Beki wa kati wa Simba, Henock Inonga ambaye awali alikuwa anatajwa kutua FAR Rabat ya Morocco huenda dili hilo likafa baada ya klabu ya FC Metz inayoshiriki Ligi 2 ya Ufaransa kuingilia kati na kumtaka.

Inaelezwa kuwa, dili la beki huyo kutoka DR Congo kwenda FAR Rabat limeota mbawa baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabia aliyekuwa anamhitaji anajiandaa kutua Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Inonga ambaye hajatumika katika mechi kadhaa za mwishoni mwa msimu kwa kilichoelezwa kuwa majeruhi, japo taarifa nyingine zinasema ni ‘mgomo’ baridi aliokuwanao kutokana na kutuhumiwa tangu pambano la Dabi ya Kariakoo ambapo Simba ilichapwa 5-1 na ziliporudiana ikafungwa tena 2-1, huku beki huyo akitumika kwa muda mchache na kutoka akionekana kuumia kabla ya Simba kufungwa bao la kwanza.

Kiungo mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Mghana Christian Zigah huenda msimu ujao asiwe sehemu ya kikosi hicho baada ya kumaliza mkataba.

Hakuna mazungumzo yanaendelea baina ya Dodoma na Zigah na tayari kiungo huyo wa zamani wa Biashara United aliyemaliza msimu ulioisha akifunga mabao matatu na ameondoka Dodoma akiwa safarini kurudi Ghana. Ramadhan Elias

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA KULOMBANA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post