Huyu hapa Pilato Fainali CRDB Cup, Yanga vs Azam Zanzibar - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu hapa Pilato Fainali CRDB Cup, Yanga vs Azam Zanzibar

Ahmed Arajiga

Ni kesho YANGA vs AZAM FC fainali ya kisasi fainali ya kibabe unaanzaje kukosa kuucheki mtanange huu live buree bonyeza hapa kudownload app itakayo rusha mechi hii live bureeee kabisa kwenye simu yako bofya sasa kudownload mapema ili kuepuka usumbufu siku ya mechi

Mwamuzi kutoka Mkoani Manyara, Ahmed Arajiga ndiye atakayechezesha mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kati ya Azam FC dhidi ya Yanga kesho Jumapili Juni 2, 2024.

Arajiga atasaidiwa na Frank Komba, Mohamed Mkono na Amina Kyando katika mchezo huo ambao umeonekana kuvuta hisia za wengi.

Je kwa Utabiri wako unadhani nani atafanikiwa kunyakua Ubingwa? Tupe maoni yakoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz