Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kuanza mazungumzo rasmi na Golikipa wao Djigui Diarra kwa ajili ya mkataba mpya.
Djigui Diarra ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja 2024-2025 na Yanga kwa sasa amekubali kukaa meza moja na mabosi wake Yanga kwa ajili ya kumboreshea maslahi na kumwongeza mkataba wa mwaka mmoja mbele hadi 2026.
Mazungumzo rasmi ya mkataba mpya yataanza siku ya kesho Jumanne.
Post a Comment