CSKA Moscow watua Yanga kwa kazi maalum - EDUSPORTSTZ

Latest

CSKA Moscow watua Yanga kwa kazi maalum

CSKA Moscow watua Yanga kwa kazi maalum

Mechi za Euro 2024 zinaendelea leo usikose kuzitazama mechi zote live bure kupitia simu yako download app yetu ili kuzitazama mechi zote live bure pia kwenye app yetu kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za azam tv na Dstv download sasa bonyeza 👉🏻👉🏻 HAPA

CSKA Moscow watua Yanga kwa kazi maalum

Klabu ya Yanga imepokea ugeni wa Maafisa wa klabu ya CSKA Moscow ya Urusi ambao wamekuja kuendesha programu maalumu ya kutambua vipaji vya wanasoka chipukizi nchini.

Programu hii itaendeshwa na CSKA Moscow kwa kushirikiana na Young Africans Sports Club, itaanza leo Juni 21 na itafanyika Dar Es Salaam, Tanga na Zanzibar.

Baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Maafisa hao walikutana na uongozi wa Yanga chini ya Rais, Hersi Ally Said.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz