BREAKING: Simba watangaza kumuongezea mkataba Mzamiru
Mechi za EURO 2024 zinaendelea leo usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kuzitazama pia ndani ya app yetu kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia zipo chanel za Azam tv na Dstv zote utazitazama bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wametangaza kumuongezea mkataba mpya kiungo wao mkabaji Mzamiru Yassin.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wamemtangaza mchana huu kwa kuwqeka picha yake na kusindikiza na ujumbe uliosomeka hivi.
"Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu."
Picha hiyo inaonesha Mzamiru ataendelea kuwepo Simba mpaka mwaka 2026 hivyo wamemuongezea mkataba wa miaka 2.
Post a Comment