Azim Dewji awatuliza Simba, sakata la viongozi kujiuzulu - EDUSPORTSTZ

Latest

Azim Dewji awatuliza Simba, sakata la viongozi kujiuzulu

Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji

Ni kesho ZAMBIA vs TANZANIA mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi hii live bure kabisa pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv bure bofya sasa kuidownload

Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao.

Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo.

Amewashauri viongozi wa Simba kujitokeza hadharani haraka kuwatuliza mashabiki wao huku akiwataka pia kuhakikisha wanasimamia vizuri usajili wa dirisha kubwa sambamba na kutafuta kocha ambaye atakaa kwa muda mrefu badala ya kuwa na mabadiliko ya mara kwa mara ambayo yamekuwa yakiiathiri timu hiyo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz