Azam FC yawapa "Thank You" mastaa wanne - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC yawapa "Thank You" mastaa wanne

Azam FC yawapa "Thank You" mastaa wanne

Mechi za EURO 2024 na COPA AMERICA zinaendelea leo usikose kuzitazama mechi zote LIVE bure kwenye simu yako download app yetu uweze kuzitazama pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za azam tv na dstv bure download app yetu sasa bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

Azam FC yathibitisha kuwapa

Klabu ya Azam FC imeachana na wachezaji wake wanne ambao ni mabeki Msenegal, Malickou Ndoye, Edward Charles Manyama na viungo, Ayoub Reuben Lyanga na Mnigeria Isah Aliyu Ndala.

Hao wanafanya idadi ya wachezaji walioachwa rasmi kufuatia kumalizika kwa msimu kufika watano baada ya awali kutangaza na beki Mghana, Daniel Amoah.

Tayari Azam FC imesajili wachezaji watano wapya ambao ni mshambuliaji Adam Omary Adam kutoka Mashujaa ya Kigoma, beki wa kati, Yoro Mamadou Diaby kutoka Stade Malien alipokuwa anacheza kwa mkopo kutoka akademi ya Yeleen Olympique ya Mali na kiungo mshambuliaji, Muivory Coast, Franck Tiesse kutoka Stade Malien.

Wengine ni Wacolombia, kiungo Ever Meza kutoka Leonnes ya kwao na mshambuliaji Jhonier Blanco kutoka Aguilas Doradas ya kwao pia, Colombia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz