Azam FC yamsajili Adam Adam - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC yamsajili Adam Adam

Adam Adam

Leo kivumbi cha mataifa ya africa kufuzu kombe la dunia kinaendelea ambapo kenya, uganda, burundi zitashuka uwanjani na nyingine nyingi usikose kuzitazama mechi hizi zote live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app inayorusha mechi hizi live bure kabisa pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za azam tv na dstv bofya sasa kuidownload uweze kufurahia chanel mbali mbali

Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa mshambuliaji Adam Adam kwa mkataba wa mwaka mmoja akiwa Mchezaji huru akitokea Mashujaa.

Taarifa ya Azam FC imeelza; "Baada ya kucheza miaka 10 nje ya viunga vya Azam Complex, hatimaye tumemrejesha kijana wetu, Adam Adam.

"Tunathibitisha kuwa tumeingia naye mkataba wa mwaka mmoja, tayari kabisa kuitumikia Azam FC msimu ujao 2023/24. Karibu sana nyumbani! Adam!"

Adam Adam amesajiliwa Azam FC baada ya msimu bora na Mashujaa aliyoifungia magoli 7.


Adam Adam amewahi kuhudumu Tanzania Prisons na amefunga magoli saba akiwa Mashujaa. Adam Adam aliwahi kucheza academy ya Azam 2011-14 hivo amerejea nyumbani.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz