TETESI: Simba wamgeukia Djuma Shaban - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Simba wamgeukia Djuma Shaban

Djuma Shaban

Ni alhamisi Azam fc vs Simba mechi ya kisasi mechi ya kibabe usikose kuitazama mechi hii live buree kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bure bofya sasa

Uwezekano wa aliekuwa mlinzi wa Yanga, Djuma Shaban Kujiunga na Simba SC ni Mkubwa,

Mlinzi huyo wa kulia wa zamani wa klabu ya Yanga ameingia kwenye mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Simba.

Taarifa kwa Djuma Shaban kuhitajika ndani ya klabu ya Simba zilianza kusambaa jana Mei 6, ingawa mazungumzo ya Maslahi, Ada ya usajili na Stahiki zingine yamepangwa kuanza siku ya leo Jumanne.

Lolote linaweza kutokeaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz