Taarifa Mpya kutoka TFF ni kuhusu Jambo hili - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka TFF ni kuhusu Jambo hili

Rais wa TFF, Wallace Karia

Ni kivumbi na Jasho jumapili hii ni Yanga vs Azam Fc mechi ya kibabe mechi ya kisasi ni fainali itakayo sisimua kila upande usikose kuitazama mechi hii live bureee kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kujiunga na group letu la telegram ili uweze kutumiwa app yenye chanel zote za azam tv na dstv buree ili uweze kuangalia mechi hii live bure kwenye simu yako pia yale mambo yetu yale yapo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Tuzo za TFF sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii ili kufanya tukio hilo kuwa bora zaidi na kukidhi malengo na mahitaji yake.

TFF imeeleza kuwa hafla ya tuzo hizo kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz